積分

演出藝人
Sollo Brown
Sollo Brown
演出者
Careen Emmanuel Mbuza
Careen Emmanuel Mbuza
和聲
Hellen vocalist
Hellen vocalist
和聲
Benedict James Kilevori
Benedict James Kilevori
主唱
詞曲
Benedict James Kilevori
Benedict James Kilevori
作曲
製作與工程團隊
Stephen Abel Fabian ( Skai )
Stephen Abel Fabian ( Skai )
製作人

歌詞

Yeah, yeah
Sound's better
Eeee eeh
Skaiii
Ukiwa peke yako ooh
Fikra wazo lako ooh
Watu wanakusema wanakupiga vita kila maraa
Yeah
Hata Imani ikayumba
Shika ulichonacho so kasumba
Kumbuka Unaweza ukitaka aah yeah
Kupata kukosa juu yake (aaaaah aaah ah)
Kama maneno acha yasemwe
Wewe ni dhahabu lazima ung'are (aaaah aaah aah)
Riziki yako ipo palepale
Kupata kukosa juu yake (Aaaaah aaah aah)
Kama maneno acha yasemwe
Wewe ni dhahabu lazima ung'are (Aaaaah aaah aaah aaah)
Riziki yako iko palepale
Wamesema mangapi, siku zinasonga
Wamefanya mangapi, hatua ninapiga
Wamesema mangapi, siku zinasonga
Wamefanya mangapi, hatua ninapiga
Una stashahada, lakini kazi hakunaga
Umekosa ada na shule umefukuzwa
Mitihani umefelii, yaan kila kitu zigzaga
Unahisi Mungu kakuacha na binadamu wanakung'ong'a
Miaka kadhaa umeumwa ndugu hawakutaki wamenuna
Rafiki zako vipi wanaona habari yako insha wanasoma
Usiwasikilize, usiyaweke moyoni moyoni hiii iiii yeah
Kupata kukosa juu yake
Kama maneno acha yasemwe (eeh eh)
Wewe ni dhahabu lazima ung'are
Riziki yako ipo palepale
Kupata kukosa juu yake (Aaaaah aaah aah)
Kama maneno acha yasemwe
Wewe ni dhahabu lazima ung'are (Aaaaah aaah aaah aah aah)
Riziki yako ipo palepale
Wamesema mangapi, siku zinasonga
Wamefanya mangapi, hatua ninapiga
Wamesema mangapi, siku zinasonga
Wamefanya mangapi, hatua ninapiga
Kusudi la Mungu kwangu lipo
(Haaaah aaah aaah aah ah)
Nitapambana hadi mwisho
Sitaogopa na vitishoo oooh ooh oooh
Kusudi la Mungu kwangu lipo
Nitapambana hadi mwisho
Sitaogopa na vitishoo ooh ooh oooh
Wamesema mangapi, siku zinasonga
Wamefanya mangapi, hatua ninapiga
Written by: Benedict James Kilevori
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...