積分

演出藝人
calad
calad
主唱
詞曲
Hamisi Seif
Hamisi Seif
詞曲創作

歌詞

Najawa na maswali mengi sometimes nikikaa
Nawaza itakuaje ukibadilika
Ukitaka kuniacha nipe taarifa kwanza usini-surprise naweza kufa
Mi sio kama wale wakukutumia
Wakishaliza haja zao wanakukimbia
Penzi ni vita wanatuvizia
Usiwape nafasi kutushambulia
Na ndo mana...
Hawajui kwako nimefata nini
Nimependa nini wanajiuliza
Hawajui kwako nimefata nini
Nimependa nini
 
Mpaka nasikia raha lalalala lalalalalala lalalala
Nikikuona naona raha lalalala lalalalalala lalalala
Ukinigusa naona raha lalalala lalalalalala lalalala
Jamani naona raha lalalala lalalalalala lalalala
Dakika huongozwa na sekunde
Niweke wazi usinifumbe
Nipe yote usipunje
Ah ulalala..
Tafadhali moyo wangu isiuvunje
Nikawa Nandy kivuruge
Wenye husda tuwashinde
Ah ulalalalala!!!
Hawajui kwako nimefata nini
Nipenda nini wanajiuliza
Hawajui kwako nimefata nini
Nimependa nini
Mpaka nasikia raha lalalala lalalalalala lalalala
Nikikuona naona raha lalalala lalalalalala lalalala
Ukinigusa naona raha lalalala lalalalalala lalalala
Jamani naona raha lalalala lalalalalala lalalala
Written by: Hamisi Seif
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...