積分
演出藝人
Baraka Mkande
演出者
詞曲
Baraka Mkande
作曲
Arafa binti Abdillah
作曲
製作與工程團隊
Baraka Mkande
製作人
歌詞
Nduguni nimewaitenii, Naomba mnielewe
Mwajua kuna mgeni abidi akirimiwe
Nduguni nimewaitenii, Naomba mnielewe
Mwajua kuna mgeni abidi akirimiwe
Atoka kwa rahmani, Lazima aheshimiwe
Atoka kwa rahmani, Lazima aheshimiwe
Mgenii mwenye thamanii, Hadhii yake apatiwe

Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa
Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa

Anafikia nyumbani, Kwa licha ya karibuni
Anaitwa Ramadhani, Wenyeji ni mimi na wewe

Tumfanyie hisanii, Tamanii tusitoenii
Tumfanyie hisanii, Tamanii tusitoenii
Hazizidi siku thelathini, Nichache siku zenyewe
Hazizidi siku thelathini, Nichache siku zenyewe
Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa
Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Akirimiwe mgeni, Mgeni akirimiwee
Asomewee Qur'anii, Na sadaqa zitolewee
Akirimiwe mgeni, Mgeni akirimiwee
Asomewee Qur'anii, Na sadaqa zitolewee
Tujumuike jamanii, Wanyonge wafaidii
Tujumuike jamanii, Wanyonge wafaidii
Usiku tusimamenii, natija yetu wenyewee
Usiku tusimamenii, faida yetu wenyewee
Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa
Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Zaidii ya swala tano, Tarawehe ziswaliwe
Uwe muda wa mavuno, Atue huyu apewe

Wala hapendi maneno, Uupuzii asisemewee
Wala hapendi maneno, Uupuzii asisemewee
Na vitendo kwa mfanoo, Vya kuudhii wengineo
Na vitendo kwa mfanoo, Vya kuudhii wengineo
Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa
Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Written by: Arafa binti Abdillah, Baraka Mkande