音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Shawty Vibes
Shawty Vibes
演出者
Alexis OnThe Beat
Alexis OnThe Beat
原聲低音吉他
詞曲
Shawty Vibes
Shawty Vibes
詞曲創作

歌詞

Dunia ina mambo mengi mimi sielewi
Dunia ina mambo mengi mimi sielewi
Wanadamu wanadamu wanabadilika haa
Wanadamu wanadamu wanabadika sana
Pole sana mpendwa wangu wenda ya mekukuta yaliyo nikuta
Tuliwategemea wanadamu hilo ndio kosa tuliolifanya
Nijipe pole nawe piya hata usijali kuna huyu Mungu hutuliza myoyo yetu
 Yeye anatupiganiya hatakama tukiangushwa
Aaahaa Niambie kaka nikiwa chini wananitiya moyo nikifanyikiwa wanabadika wana geuka maaduii
Usiangalie mwanadamu mwangalie mungu nirafiki wa kweli
Usiangalie mwanadamu mwangalie mungu nirafiki wa kweli
Maana huyu mungu niwauwezo huyu mungu habadiliki huyu mungu anaweza badilisha historia yangu
Maana huyu mungu niwauwezo huyu mungu habadiliki huyu mungu anaweza badilisha historia yangu
Kuna kitu najuwa huwa kinaumiza sana
kuwekeza kwa mutu na mwisho akakusaliti
Mwanadamu unaye mwamini ndiye ata kumiza
 Jifunze kumtegemeya mungu hatokuumiza
Mimi mwezio nimejifunza kumtegemeya mungu
Mimi mwenzio nimejifunza ku mwamini tu mungu
Maana huyu mungu niwauwezo huyu mungu habadiliki huyu mungu anaweza kubadilisha historia yangu
Maana huyu mungu niwauwezo , huyu mungu habadiliki , huyu mungu anaweza badilisha historia yangu
Usiangalie mwanadamu mwangalie mungu nirafiki wa kweli
Usiangalie mwanadamu mwangalie mungu nirafiki wa kweli
Maana huyu mungu niwauwezo huyu mungu habadiliki huyu mungu anaweza badilisha historia yangu
Maana huyu mungu niwauwezo huyu mungu habadiliki huyu mungu anaweza badilisha historia yangu
Written by: Shawty Vibes
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...