積分
演出藝人
Yozboy
和聲
詞曲
Brian Kona
詞曲創作
製作與工程團隊
Its Kenny
製作人
歌詞
Penzi lako umejaza utamu,
Wanipa lote tena sio la haramu,
Napenda unavyonipa Bum Bum.
Ooh umedondoka kwenye sayari gani, maana urembo wako unashinda medhali
Sasa kukuacha nitaanzaje
Hata wafanye nni
Hata aingilie shetani
Mmmh ama wee ndo Yule jini anayekaa majini iih
Navyokupenda mwenzako nitaibadili dinii
Kukupata wee ni kama nimepata medhali iih
Napenda ukinguza mahali fulanii
Ooh
\" jamani huyu ANANIPENDA walaiih pia nampenda\"X2
Wayajua mahanjumati,
unapika mpaka sumu
penzi letu sio la hesabati
yanini ni kulaumu
Unangaa kama digrii mtoto mwenye rangi ya mitume
Kwengine hata sisikii kokote utakapo we nitume
Kwako nimezama nimekwama
Hata nikikohoa unauliza vipi babe umeumia
Aah Ololufee
Nakuonga huu Wangu mtima
Na kukuacha siwezi maani ninakupenda maanzima
Na ndo kwako nimezama...
Jamani huyu ANANIPENDA
Walaiih pia nampenda
Jamaniii huyu ANANIPENDA
Walaiih pia nampenda aaah
Written by: Brian Kona

