積分

演出藝人
Jay Melody
Jay Melody
聲樂
詞曲
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
作曲
製作與工程團隊
S2Kizzy
S2Kizzy
製作人

歌詞

[Verse 1]
Mimi nataka kitu kidogo, nikwambie
Nimekupa moyo basi nawe wako nigaiye
Burudani nifuraha wewe kua na mie
Ukitaka joto songa baby nikukumbatie
[Verse 2]
Kama kukutenda sijui my love
Baby I don’t know
Kama kakuacha sijui my love
Baby I don’t know
[Chorus]
I don't know, I don't know
Baby I don’t know
I don't know, I don't know
Baby I don’t know
[Verse 3]
Hatupendani wenyewe, tunapendwa na umati
Watazunguka kote, kama sisi hawapati
Baby unavyonipa, nikachori kalimati
Wambea watachoka, kwa kufanya hisabati
[Refrain]
Nataka ujue (We wakwangu mie)
Ringa jishauwe (We wakwangu mie)
Usijibanebane (We wakwangu mie)
Tamba wakujue (We wakwangu mie)
[PreChorus]
Kama kukutenda sijui my love
Jamani baby I don’t know
Kama kukuacha sijui my love
Mwenzako baby I don’t know
[Chorus]
I don't know, I don't know
Baby I don’t know
I don't know, I don't know
Baby I don’t know
[Verse 4]
Nampenda mpenda nani, mtoto mmoja nani
Mweupe kidogo nani, mweusi kidogo nani
Eti nampenda mpenda nani, mtoto mmoja nani
Mweusi kidogo nani, mweupe kidogo nani
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...