歌詞
[Verse 1]
Walisema mapenzi dawa, ooh
Ila kwako nilipata ugonjwa
Ah, ukanilisha bila kunawa
Ooh, madharau hukuona uoga
[Verse 2]
Ndo maan nimekukataa, nimekuzimia taa
Mwenye roho ya paka, usiyewai ridhika
Mapema nilijua aah aah, mbali hatutafikaa
Kipi kinakuwasha, mbona wahangaika, aah
[PreChorus]
Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna ubaya mimi nilokufanyia
[Chorus]
Watiatia unga, wasagasaga rhumba
Yapo yamekushinda, ya kwangu kuyachonga
Watiatia unga, wasagasaga rhumba
Yapo yamekushinda, ya kwangu kuyachunga wewe
[Verse 3]
Sasa natulia jinsi napatiwa raha za dunia (Acha iyo)
Nazingatia tabasamu langu nisije kulia (Acha iyo)
Na tena fundi wa matenzi amejaliwa (Acha iyo)
Kajawa hisia mahaba asilimia mia, ooh
[Verse 4]
Ulitaka nigongoroke, ooh
Niwe hoi yaani nichoke, aah
Kwenda uko wewe chaote, ooh
Huna jambo huna lolote, aah
[PreChorus]
Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna ubaya mimi nilokufanyia
[Chorus]
Watiatia unga, wasagasaga rhumba
Japo yamekushinda, ya kwangu kuyachonga
Watiatia unga, wasagasaga rhumba
Yako yamekushinda, ya kwangu kuyachunga wewe
Written by: Sharif Saidi Juma


