積分
演出藝人
Fidel Rayd
演出者
FIDEL OSANO
聲樂
詞曲
FIDEL OSANO
詞曲創作
歌詞
Nairobi zero mileage sahau
Nairobi zero mileage-
Yo, ati-
Nairobi zero mileage sahau
Pochi ni ya SACCO gari moja dere mbao
Kesho wako leo ni kwangu
Mchezo wa town
(Bouncing baby boy, yeah)
Ka ni wako basi mbona ananitext
Mbona anashinda ameslide kwa DMs
Ka ni wako basi mbona ako on my bed
Ananipea mechi we anakupea stress
Unaringa ati brand new bae
Unakuja kuchunguza kumbe ni Ex-Uk
Usilambe sahani ya hoteli my friend
Ulafi isifanye alafu utaste uyo pengs
Ka una bae make sure ushajua next
Sikuizi hakuna till death zii
Ni ati sahi ni chako
Alikuambia ati amechange
We ukajijazia ati ameacha kuwa hoe kumbe alimaanisha clothes
Nairobi zero mileage sahau
Pochi ni ya SACCO gari moja dere mbao
Kesho wako leo ni kwangu
Mchezo wa town (mchezo wa CBD)
Nakam ki sherlock
Me ndio napitanga nao
Nairobi zero mileage sahau
Pochi ni ya SACCO gari moja dere mbao
Kesho wako leo ni kwangu
Mchezo wa town (mchezo wa CBD)
Nakam ki sherlock
Me ndio napitanga nao
Sijui nini
Sijui ni research amepiga juu haileti ka last time (haileti ka last night)
Labda kuna praco sikuitwa
Labda nikichelewa kuna mrija ya on time
Akona ninja wa doh
Akona ninja wa fom
Ninja wa vsop
Na ninja wa Chrome
Ako na mrija ya Kilimani na mrija ya Umo
Ako na ninja wa mat na wa kumpick aki call
Wa kwako anadai tuingie gwethe
Me nadai pale site one lege
After mechi vaa nguo usibaki ndethe
Juu masaa ni bad na kuna wa 11
Nairobi zero mileage sahau
Pochi ni ya SACCO gari moja dere mbao
Kesho wako leo ni kwangu
Mchezo wa town (mchezo wa CBD)
Nakam ki sherlock
Me ndio napitanga nao(pitanga nao)
Nairobi zero mileage sahau(Cheki! Cheki! Cheki!)
Pochi ni ya SACCO gari moja dere mbao
Kesho wako leo ni kwangu
Mchezo wa town (mchezo wa CBD)
Nakam ki sherlock
Me ndio napitanga nao
Written by: FIDEL OSANO