音樂影片
音樂影片
積分
演出藝人
Jux
演出者
Bien
演出者
詞曲
Bob Manecky
作曲
Juma Mkambala
詞曲創作
RAYMOND MAZIKU
作曲
Bien-aime Baraza
詞曲創作
製作與工程團隊
Bob Manecky
製作人
歌詞
Najua ushaskia sana kama mapenzi yanauma
Tena wengi walaghai wanaume sisi nomaa (nooo)
Kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako weee
Watu tumeumbwa wengi tofauti duniani
Tamaa za mwili haziwezi fanya nikuache we njiani
Kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako weee
Ulitaka amani you're lucky now
Ulitaka furaha you're lucky now
Ulitaka rafiki you're lucky now
Uliomba mpenzi I'm here for you
I'm here for you I'm here for you
Ulitaka amani you're lucky now
Ulitaka furaha you're lucky now
Ulitaka rafiki you're lucky now
Uliomba mpenzi I'm here for you
I'm here for you I'm here for you
Wamekuvunja moyo wengi na vidonda havijapona
Na hupendi wasanii juu umechoka na sinema
Watu hawafanani mi na wao kama night and day nitabaki hapa na wewe
Amani amani moyoni amani tangu nkutie machoni
Nlikuona ndotoni ni kama ndoto
You don't have to worry uko na mimi
Nitafuta chozi lako weee
You looking for a king you're lucky now
I'm looking for a queen I'm so lucky now
You're looking for a friend you're so lucky now
You're looking for a song I'll sing for you
I'll sing for you I'll sing for you
You're looking for a king you're lucky now
I'm looking for a queen I'm so lucky now
You're looking for a friend you're so lucky now
You're looking for a song I'll sing for you
I'll sing for you I'll sing for you
As long as I breathe I'll be there
Ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo
And I'm only one call away ntakuwepo
Ntakuwepo na weee na weee
As long as I breathe I'll be there
Ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo
And I'm only one call away ntakuwepo
Ntakuwepo na weee na weee
Written by: Bien-aime Baraza, Bob Manecky, Juma Mkambala, RAYMOND MAZIKU


