旋律
歌曲有多麼清晰易記且符合明確音樂模式的旋律。通常,旋律分明的作品會擁有清晰易記的器樂或人聲主線。
原聲音質
此指標衡量一首歌曲在多大程度上依賴原聲樂器 (例如鋼琴、吉他、小提琴、鼓、薩克斯風),而非電子或數位合成音效
Valence
歌曲透過和聲與節奏所傳達的音樂積極性或情感基調。數值高通常對應快樂、興奮或愉悅感,數值低則與悲傷、憤怒或憂鬱相關。
節奏感
綜合了節拍穩定性、節奏型態與重拍強度等多重因素,以判定一首歌曲適合跳舞的程度。一首「節奏感強」的歌曲,通常具備穩定的速度、重複的音樂結構與明顯的強拍。
輕快
曲目的律動感可能受節奏快慢、音量起伏與聲譜密度所影響。較輕快的歌曲通常節奏強勁,編曲豐滿;反之,不太輕快的歌曲則可能編曲簡約、節奏較慢。
BPM
歌詞
Uhh, take hio tour ntakuguide
Usitry kudetour ntakuwai
Wanaifanya juu ya kiki kutudiss
Mbona sasa analia?
Ka nakuoffend basi glide
Blood on the currency bribe
Walicheza na sisi ni mapikin
Mbona sasa analia?
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze, doze
Late night ndio kuingiza shift
Kuna bitch anataka tusneak
Chali yake amezima kwa crib
Kuna mali anataka tuship
Yoh mundi unaeza land huku D (ei yei)
Of course, hii ni one for the team
Huyu ngeus amezoeanga tips
So ni leo anadai turedeem
Na ka hayuko morgue hatudoze
Juu once tuko on hatupause
Flashback ya mavice tulicause
CPR ndio ilifanya tustall
Ka ni one for the team na perform
Ka ni one for the bitch naeza hop
Pick a side, me ndio ref nawa warn
Kuna skengs on site na ni warm
Uhh, take hio tour ntakuguide
Usitry kudetour ntakuwai
Wanaifanya juu ya kiki kutudiss
Mbona sasa analia?
Ka nakuoffend basi glide
Blood on the currency bribe
Walicheza na sisi ni mapikin
Mbona sasa analia?
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze, doze
Alikam akinyeta (yaa yaa)
Akatoka amebebwa
Si na mbogi machela, sa masake anateta
Ukitry kureport tunaimprovise, wajipin wakikam hatulive a lie
Ukibreeze usikam huta leave alive
Hii si panga ni bro inafeed on life
Feel alive, feel alive
Wali come kutupoke wakidhani ni jokes, sa mojao amegenya (dead bitch)
Wali come kuprovoke wakidhani ni jokes, sa ni hao wanahepa
Sina mtutu so kama ni beef nakufanya ka ketchup
Budake ni mwere, masake ni thori, huyo fala ni urgh!
Take hio tour ntakuguide
Usitry kudetour ntakuwai
Wanaifanya juu ya kiki kutudiss
Mbona sasa analia?
Ka nakuoffend basi glide
Blood on the currency bribe
Walicheza na sisi ni mapikin
Mbona sasa analia?
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze
Kaa hayuko morgue hatudoze, doze
Juu ni mwere alizimwa na pills
2FA hatuhitaji hata pin
Hapa stock tunaland ikileave
Bora form imejipa tuskeem
RIP kuna Robbery In Progress
Ahead of the game, hatu trust hio process
Peng anataka tip me nataka akiwa topless
Kaa ni glide tunaipiga bila complaints
Ni kama half day
Sio suspect heat tuna sustain
Nataka puff on a hot day
Piga para ndio nidice kama coldplay
Hakuna hata foreplay (no)
Fuck that woke shit, they've been sleepin on we
Move kama floki, shank mbili on me
Sihitaji hata mbogi, I got killies on E
Sihitaji hata
I got killies on E
Take hio tour ntakuguide
Usitry kudetour ntakuwai
Wanaifanya juu ya kiki kutudiss
Mbona sasa analia?
Ka nakuoffend basi glide
Blood on the currency bribe
Walicheza na sisi
Mbona sasa analia?
Written by: Bruce Omondi, Emmanuel Omondi

