album cover
Embargo
5,594
World
Embargo 由 Mondo Melodia 於 1998年1月1日發行,收錄於專輯《Ya...》中
album cover
專輯Ya...
發行日期1998年1月1日
標籤Mondo Melodia
語言English
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快
BPM87

歌詞

Leo nasaili
Ju mimi sikuelewa mambo yale
Unasema embargo
Ni njiya ya kuleta amani kwangu
Kwa vile naona
Ni watu wanahangayika bure
Unisamehe sana
Ju mimi sione uzuri wake
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Inci inazimiya
Inakosa dawa na cakula
Ni amani gani
Inaleta njala na maladi
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Written by: Khadja Nin, Nicolas Fiszman
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...