album cover
Sinani
album cover
Sinani 由 Sirup Music 於 2026年4月10日發行,收錄於專輯《Sinani - Single》中
發行日期2026年4月10日
標籤Sirup Music
語言English
BPM125
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快

音樂影片

音樂影片

歌詞

HAYAYAYAYA,
Nitawa chuma Africa
Nimepata mrembo kutoka TikTok
Amechizi na mimi na sio kidogo
Aiiiiiiiiiiiyah... iih iih
Anasema
Ameona picha zangu
Kaziona Video zangu
Ye kaona nimetesa kama vile nina pesa
Ameona picha zangu
Kaziona Video zangu
Ye kaona nimetesa kama vile nina pesa
Ila we wewe nanii, iPhone
Sina Sinani, Pesa
Sina Sinani, Kagari
Sina Sina sina
Sina Sinani , iPhone
Sina Sinani, Pesa
Sina Sinani, Kagari
Sina Sina sina
Sa msupa anaitaka ya uber fare
Na nina siku kadhaa mie sijala
Chumba changu cha ghetto nashindwa ni vipi atalala
Nikisema matatu kanduthi nikama ataniwacha
kutoka TikTok
Amechizi na mimi na sio kidogo
Aiiiiiiiiiiiyah... iih iih
Anasema
Ameona picha zangu
Kaziona Video zangu
Ye kaona nimetesa kama vile nina pesa
Ameona picha zangu
Kaziona Video zangu
Ye kaona nimetesa kama vile nina pesa
Ila we wewe nanii, iPhone
Sina Sinani, Pesa
Sina Sinani, Kagari
Sina Sina sina
Sina Sinani , iPhone
Sina Sinani, Pesa
Sina Sinani, Kagari
Sina Sina sina
Written by: Edoardo PELANDI, Isaac Kyuma Mwanzia, Stefano Alvino

Loading...