Music Video

Marioo - Inatosha (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
RR
RR
Producer

Lyrics

Hata kama penzi ni maji masafi niacheni nanawaa Mana yamenifika yamenifika hapaa, ingawa ntakonda, nimeridhia sawaa Mana kila dakika me wakilionii Kukikucha macho juu nakesha kulilia penzi kama kinda nlokosa mama ee mama Afu shida so heshima tuu hata wanaomwingia wengi Mwenzenu kupenda nishakata tama, tama We acha itabaki kuwa historia japo sio kiroho safi Na ya nini kun'gan'gania biashara tena yenye hasara Na wala sisemi ntakuchukua japo moyoo hautaki Na ya nini kun'gan'gana n'gan'gana Mmm Inatoshaa Inatoshaa Inatosha Inatosha Ni kwamba moyo mashine na imani ntapoa Ihali sio ya kudumu naimani ntapoaa Ni kwamba tumeumbwa kusahau naimani ntasahau Ihali sio ya kudumu nitakusahau Kama kukupenda si ilishindikana sawa sina chaguo Mana japo itanisumbua sumbua itaniumbua umbua Muchanga kwenye kitumbua tumbua, kwenye kitumbua tumbua We acha itabaki kuwa historia japo sio kiroho safi Na ya nini kun'gan'gania biashara tena yenye hasara Na wala sisemi ntakuchukia japo moyo hautaki Na yanini kun'gan'gana n'gan'gana Mmm (Inatosha) Acha nipambane na hali yanguu (Inatosha) Mapenzi ya kupanda kushuka basi (Inatosha) Mmmm utaniua (Inatosha) Mmm utaniua nwenzako miee (Inatoshaa( Remix killer
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out