Lyrics

Yap Aaah, aah Ye baba (classic music) Iyoo, Iyooo, Iyooo Ulivyojidapika oh mama eeh Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Kwani ye ndiye wa moyo pambio (heee) Na hakiombeki namkiya uwooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh Ah, you make a man wah wah wah Woman why you do me la la like that You make me sing nah nah nah nah She got that beauty kampa mama Mapenzi yanaweza kuchipua jangwani Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani Yakikushika mapenzi mambo hadharani Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani Au ufungue moyo ndani uone thamani No game, game-over nimesurrender Sina-sina sera, sina agenda Sina pakwenda mtu ukipenda danger Unaweza kusaga chuma kwa blender Ulivyojidapika oh mama ee Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki namkiya uwooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh You too much sweety Unapotabasamu hunionyeshi hamu My lemon my sugar tam tam I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Nawe ndo nyota ya kamchezo Hii karama hakuna cha dezo dezo Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia Anachotaka nakata Pochi namnunulia Namwaga manoti nahudumia Hahitaji tochi namulikia Kashavua upweke vua koti namkumbatia I need you by my side, need you in my life Girl I wanna marry you, can you be my wife? Sikumwagii sera za kuja kukulaghai Me I tell you no lie, walai mama I'm die Unaniipandisha mizuka, zuka Narukaruka matuta, tuta Sifa nyingi za kukupa, nakupa Mwendo kama umejisusa, unajitupa (aya!) Funga kazi namba moja top top Umkute mwanamke wa uswazi anajua soap soap Chochote anachovaa kinafaa dope dope Akiinuka akikaa ndo balaa oh oh Ulivyojitapika oh mama ee Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki namkiya ooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh Comestas, niko na Darassa Yeap Yeah baba, uuh la-la Aba!, ababa, eeh Vitu vitamu ndo vinagharamiwa
Writer(s): Radric Davis, Kenneth Charles Blume Iii, Nils Noehden Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out