Music Video

Featured In

Lyrics

Classic music Ooh yeah yeah Kapipo Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba Siku nikienda kulala nitaota mapenzi Ukisikia naenda, nafura najiimbia Kama ukisikia naimba naimba mapenzi Ukiniona nalia, nifute machozi Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi Ooh yeah Nilishafanya vi ujanja ujanja vya kubuni Kaisoma namba kwa Kirumi Kujichanga changa mpaka mbuni Na kumbe najichanja chanja kama kuni Nitafute wapi nakosea step Labda nivae fashion nijenge shape Mwishoni I try to doubt myself Siwezi kuogelea ya maji marefu Ndio maana bado nakuwa na kiwewe Maswali najiuliza mwenyewe Nasema nitapata wangu je ni wewe? Naona unaweke kifaranga na mwewe Mapenzi yanataka uyape respect Commitment assurance Mapenzi sio kitu kama pesa ya benki Umpe bunduki mlinzi akutetee Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba Siku nikienda kulala nitaota mapenzi Ukisikia naenda, nafura najiimbia Kama ukisikia naimba naimba mapenzi Ukiniona nalia, nifute machozi Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi Ooh yeah Mi nina roho na moyo Ndani sio wa chuma roboti So nahitaji furaha amani Ya upendo ndo nipate comfort Nimetafuta tafuta njiani Mtu wako mwamina wokoti Can I company you baby Won't you give loyalty Marafiki zangu wakikutaka utasemaje Namwambia please respect yourself Na kama napata utachezwa itakuwaje I will run for you baby when you need my help Mapenzi yanataka uyape respect Commitment assurance Mapenzi yeah Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba Siku nikienda kulala nitaota mapenzi Ukisikia naenda, nafura najiimbia Kama ukisikia naimba naimba mapenzi Ukiniona nalia, nifute machozi Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi Ooh yeah Juu nalia mapenzi Ooh yeah The mix killer
Writer(s): Faustina Mfinanga, Sharif Thabeet, Marioo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out