Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbydad
Abbydad
Producer

Lyrics

Ana shepu Buffalo Mwendo kama hakanyagi chini (Hakanyagi Chini) Njonjo Kangaroo Kafungasha double kibini (Double Kibini) Anaguu la beer (Tende) Kifuani dodo (Embe) Kipotable Dayna Nyange Akitembea (Ndembe ndembe) Yani kama (Mzembe) Mambo yote paambe Eenh okotaaa Usiogope okotaa Eeeh okota Inama inama Eenh okotaaa Usiogope okotaa Eeeh okota Inama inama Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Kanabinua binu Kanabinua mugongo Kanabinua binu Kanabinua mugongo Kiuno sakata Nizame topeni nisafishe dimbwimbwimbwi! Mtoto prakata kiuno shanga cheni Kishundu mbwimbwimbwi!!! Cheza nikuonge verosa (Aaaah verosa!!) Shaku shaku shogorosa (Shogorosa!!) Uganda Maria Rosa (Aaaah Rosa!!) Lagos dance makosa (Dance makosa!!) Eenh okotaaa Usiogope okotaa Eeeh okota Inama inama Eenh okotaaa Usiogope okotaa Eeeh okota Inama inama Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Niuwe!! niuwe!! Niuwe!! Mama niuwe Kanabinua binu Kanabinua mugongo Kanabinua binu Kanabinua mugongo Kanabinua binu Kanabinua mugongo Kanabinua binu Kanabinua mugongo
Writer(s): Idd Abdul Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out