Lyrics

Intro Wasafi Aiyo Lizer Aaaaah aaaah aaaaah aaaah Aaaaah aaaah aaaaah aaaah Wasafi Records Aaaaah aaaah aaaaah aaaah Kama imeshindikana kunirudia isiwe taabu Usiuforce moyo kupenda usipostahili Ya nini kung'ang'ania nishachoka kuwekwa sub Siwezi ooh na mapenzi nishaghaili Tena niko tayari vipigwe Vinumbi kengere kwa sherehe Kinaghaubagha mbele ya umati tuachane Na kama hautojali tuite Waumini mapadre na masheikh Yaishe labda sa kwa nini tutesane Kweli we ndo nikupendae Ila unanipa ghadhabu jina Tusitoane nyongo Na kama umenichoka eh Niache kistarabu jina Usinipe chongo miee Bridge Mwili umebaki kongoro nyama sina ni mifupa Naiona domboro kabisa siwezi furukuta Penzi kiporo limeshachina linanuka Kuishi kokoro purukushani kutwa kucha iyeeh Chorus Bora tuachane bora tuachane siwezi Bora tuachane yamenishinda mapenzi Mi naona bora tuachane eeh tuachane siwezi Bora tuachane yamenishinda mapenzi Chorus Ni dhahiri kisima kimekauka maji Ndo maana naona ata sina maana tena Nilifikiri mi gonjwa langu limepata mponyaji Umeniongezea homa mwili wote watetema Mi naona basi labda si ridhiki yangu Kama hunitaki acha tu niende zangu Ya nini mishikaki ntatafuta boda yangu Nijinafasi niipande peke yangu Bridge Mwili umebaki kongoro nyama sina ni mifupa Naiona domboro kabisa siwezi furukuta Penzi kiporo limeshachina linanuka Kuishi kokoro purukushani kutwa kucha iyeeh Chorus Bora tuachane bora tuachane siwezi Bora tuachane yamenishinda mapenzi Mi naona bora tuachane eeh tuachane siwezi Bora tuachane yamenishinda mapenzi Wasafi
Writer(s): Siraju Amani, Abdul Idd Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out