Music Video

Mbosso - Watakubali (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Nusder Venom
Nusder Venom
Producer

Lyrics

Maaaaaaaa aaaah ah! Uh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh Mhh, maaaaaaaa aaaah ah Uh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh Asalala Mungu kaninyima upole Hali yangu majalala, mwali nliekosa mkole Terminal Mbagala, ofisi ya kila ndole Nawakalisha mafala, wajinga wakuja Bongo Wageni wa Dar es Salaam Vipi nitakidhi mahitaji yako, yangu yananishinda Hali mbaya sina godoro Na vipi kuhusu wazazi wako, kielimu mimi mjinga Japo mapenzi hayanaga kasoro Kama una kumbukumbu, hata baba yako nilishawahi kumkaba Alilia kwa uchungu na mama yako, nilipompola zaga Je! Watakubali? Hivi unadhani (watakubali?) Wazazi wako (watakubali?) Me nawe hatulingani (watakubali?) Hadhi yangu na yako (watakubali?) Hivi unadhani (watakubali?) Waaaa aaah...! (watakubali?) Shida mama shida (watakubali?) Aaaaah ah! Najua watamani tuoane Miguu yangu kutwa iko busy eeh! Sitaki ubaki mjane Kula kwangu hadi nikimbizwe eeh! Niendapo barabarani Usinisubiri nikikwambia ngoja Maana si kazi ila vitani Kufa ni tendo la mara moja Muda mwingine shati begani Pekupeku utadhani nimerogwa Mguu nje mguu ndani Defender inakubeba kama mzoga Raha ya mapenzi ushemeji kucheka Dada na majirani Na nishafanya kote manjegeka Hawanipendi mtaani Vipi nitakidhi mahitaji yako, yangu yananishinda Hali mbaya sina godoro Na vipi kuhusu wazazi wako, kielimu mimi mjinga Japo mapenzi hayanaga kasoro Kama una kumbukumbu, hata baba yako nilishawahi kumkaba Alilia kwa uchungu na mama yako, nilipompola zaga Je! Watakubali? Hivi unadhani (watakubali?) Wazazi wako (watakubali?) Me nawe hatulingani (watakubali?) Hadhi yangu na yako (watakubali?) Hivi unadhani (watakubali?) Waaaa aaah...! (watakubali?) Shida mama shida (watakubali?) Aaaaah ah! Nkuonge kisimu cha camera (naanzaje!) Na kila rusha roho madera (naanzaje!) Eeeeh! Saloon uwende kila week (naanzaje!) Weekend twende kwa miziki (naanzaje!) Naaaaanzaje?
Writer(s): Mbosso Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out