Lyrics

Lalala lalala la la la Lala la la la Shombe shombe Mtoto laini laini Anawaka waka Wanga wape vidonge Nimebaini baini Wana tapa tapa Mi nawe mpaka kiama Tuombe uzima Waroge kwa kuchutama Na wasimame wima Kamwe hawatopata mwanya Habithi fitina Wapike mabilinganya Si tutoke dinner Nalegea Ukintazama yako macho Yako macho Nalegea Ikigusana yangu na yako Yangu na yako Katoto hodari Hodari wa mapenzi Jamani hodari Hodari wa mapenzi Kwa michezo ya chumbani, hodari Hodari wa mapenzi Mtundu kitandani, hodari Hodari wa mapenzi Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi Nisakata makirikiri Kuniwasha ka pilipili Fundi haswa amekithiri Kunipa nilewe Kwasa kwasa ndani bingiri Za kukata saga kachiri Nani haswa unafikiri Kama si wewe Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga) Nikande kipanda uso tufunikane (kanga) Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga) Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka Nalegea Ukintazama yako macho Yako macho Nalegea Ikigusana yangu na yako Yangu na yako Katoto hodari Hodari wa mapenzi Jamani hodari Hodari wa mapenzi Kiueno kunengua, hodari Hodari wa mapenzi Bidu kujibidua, hodari Hodari wa mapenzi Wema Sepetu hodari Hodari wa mapenzi Uwoya hodari Hodari wa mapenzi Mama Cookie hodari Hodari wa mapenzi Mama Dangote, hodari Hodari wa mapenzi Jack Wolper, hodari Hodari wa mapenzi Zari Mama Tiffah, hodari Hodari wa mapenzi Esma Khan, hodari Hodari wa mapenzi Elizabeth Michael, hodari Hodari wa mapenzi
Writer(s): Mbosso Mbosso Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out