Music Video

Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Amaboko (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

Mwaga maji tucheze kama kambale Leo ni Vannyboy yupo na mtoto wa Tandale Aiiiiiii! Amaboko Eeh amaboko (iih!!) Amagulu Eeh amagulu (kiruuuu!!) Amaboko!!! Eeh amaboko Amagulu Eeh amagulu Aah gbeseee! Tooto litoto to Tooto litoto to Tooto litoto to Tooto litoto Watoto wa bibi Wanacheza kote mpaka kwenye matope Wanavua wigi Kama wamegombana na Ebitoke! Fanya kama unadukua (twende sasa!) Unanengua (twende sasa!) Unapika na pakua (twende sasa!) Aiii chukua (twende sasa!) Nasema popooo popo (tunakesha popo!) Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe (tunakesha popo!) Nasema popooo popoooh (tunakesha popo!) Shika pesa tusepe Silali mwenyewe (tunakesha popo!) Chii!! Anasasambua (kalewa!) Anakibinua (kalewa lewa!) Anajichetua (kalewa!) Aiyayayayayaaa (kalewa lewa!) Amaboko Eeh amaboko (iiih!!) Amagulu Eeh amagulu (kiruuuu!!) Amabokooo!!! Eeh amaboko Amagulu Eeeh amagulu Aah gbeseee! Tooto litoto to! Tooto litoto to! Tooto litoto to! Tooto litoto! Asa baby show Shooow onyesha alichokupa mama Babe ko (komesha sijali lawama) Kana sipidi didi diiiiii! Mwendo 4G jijiii jiii! Katoto gwijigwiji jiiii! Kwenye kujigijigi jiii! Ah! venye nyomi kijiji Manyoni itigigiiiii Twende mpaka morning ikibidiiii Nizame shimoni kimbijiii Eeeeeeh katoto kana papara (paraaa!) Kupigwa nyembe kipara (para!) Namvuta kama sigara (raaaaa raraaa!) Nasema popo popooo (tunakesha popo!) Tembeza cha ukucha na Monde tulewe (Tunakesha popooo!) Wanangu popoo popo (tunakesha popooo!) Kama akigoma vuta usilale mwenyewe (tunakesha popoooo!) Ayaya yayaaaa (kimempandaa!!) Oooh kidaruso (kimempandaa!!) Kaisha leo (kimempandaa!!) Namsomba kama fuso (kimempandaa!) Umo umooo!! Amaboko Eeeeeeeh amaboko (iiiiiiii!!) Amagulu Eeeeeeh amagulu (kiruuuu!!) Amabokooo!!! Eeeeeh amaboko Amagulu Eeeeeeh amagulu Aah gbeseee! Tooto litoto to! Tooto litoto to! Tooto litoto to! Tooto litoto! Mwaga maji tucheze kama kambale Leo ni Vannyboy yupo na mtoto wa Tandale Aiiiiiiih!! Mwaga maji tucheze kama kambale (umo umooo!!) Leo ni Vannyboy yupo na mtoto wa Tandale Sa chezesha kileso!! (kileso!) Kileso kileso (kileso!) Zungusha kileso (kileso!) Eeeh kileso kileso!!! Kama unakibana kwa kwapa (kileso!) Kilete kwa hapa (kileso!) Kama unarusha unadaka (kileso!) Mmmh swadakta (kileso)
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Naseeb Abdul Juma Issack, Raymond Shabani Mwakyusa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out