Music Video

RAYVANNY - KWETU (Official video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Sifa kwa Mola wangu Maulana kwa mengi aliofanya Hadi mi na we kukutana, kisura Sijapanga kudanganya, ntasema ukweli mama Kisa nakupenda sana, kisura Umesema wanipenda ila maisha yangu maseke Michicha, milenda ndo menyu yangu, na ya kuku mateke Yaani chenga, kila siku kilio sa lini nicheke? Sina tenda, ugali Buguruni, mboga Temeke Nafurahi umeniridhia niwe na wewe kimwali Maisha yangu mitihani isoisha maswali Ukifika nyumbani vumilia maana hali sio swali Asubuhi mchana pakavu, jioni ndo kula futali Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi Bado, mi bado, mi bado Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, iyee, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado Mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro Ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro Hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro Mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya Comoro Ila nimeshakupa, nimeshakupa mtima mtima Ukija kususa, utanizika mzima mzima Nimeshakupa eh, nimeshakupa mtima mtima Ukija kususa ah, utanizika mzima mzima Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi Bado, mi bado, mi bado Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, mie, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado Suala la nyumba na gari mimi Bado, mi bado, mi bado (Haki ya Mungu bado, yaani shuka bado) Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, iyee, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Solly Cohen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out