Music Video

Zuchu - Mwambieni (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Lyrics

Mhhh mh mh Mhhh mh mhhh Mhh mh mh Mhh Eeeeeh kaja omba nirudia Kazirejesha salam Zamani kakumbukiaa Ameumisi utamu Kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini Mpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini Heee mwambieni mwambieni Mali yake ishaliwa Ahaa apunguze kampeni Jimbo lishachukuliwa Hehee! mwambieni mwambieni Mali yake ishaliwa Aha apunguze kampeni Jimbo lishachukuliwa Weeh! kabaki mbe (Mbe arijojo mbembe) Hatarii mbe arijojo mbe Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe) Yuko chalichali mbe arijojo mbe Mbe mbe mbe Alidhani ameniadhiri Alidhani amenikomoa Mungu akanipa msitiri Alonipoza nikapoa Aah! penzi kalijaza ndindindi Kanimwagia mwemweremwemwere Pole ya kwako kidingi Wa kudandia ngenderengedere Simu za usiku wa saa sita (Aka staki) Kuni dm insta (Aka staki) Kutwa kujikomentisha (Aka staki) Kujitumisha vipicha (Aka staki) Hee mwambieni mwambieni Mali yake ishaliwa Aha apunguze kampeni Jimbo lishachukuliwa Hehee mwambieni mwambieni Mali yake ishaliwa Aha apunguze kampeni Jimbo lishachukuliwa Weeh! kabaki mbe Mbe arijojo mbembe hatarii Mbe arijojo mbe Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe) Yuko chalichali mbe arijojo mbe Hee kabaki mbeee (Mbe arijojo mbembe) Si wa mbele wala nyuma (Mbe arijojo mbe) Si wa kuvutwa sukuma (Mbe arijojo mbembe) Inakuuma eeeeh (Mbe arijojo mbe) Twende kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti Kikiti kikiti Kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti Kikiti-kikiti Twende bah Skoroba bah yani bah Yani bah skoroba bah Yani bah aweeh Hahaaaaa (Kamixlizer)
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Lugendo Zubery Kileo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out