Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Lead Vocals
Lizer Classic
Lizer Classic
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

Mmmh Lalala mmh Lalala (Ayo Laizer) mmh Lalala mmh (Nusder) Yaani kwa sauti, kasema deka deka Na mimi najiachia Kanipa shuruti la kumteka, teka Silaha kanigawia Mbezi kimara, hunipeleka peleka Mpaka mwisho hashuki, hashuki Kiungo imara hunipenyeka penyeka Kwa ya nguvu mashuti, mashuti Aaahhh Kaniweka darasani Kunifundisha vizuri Mengi hayajulikani Yataka kuyakariri Kanichorea ramani Kopa lenye nyingi siri Nyekundu nje na ndani Rangi yake zingifurii Raha, kupendwa raha (Mmhh kupendwa raha) Raha, jamani raha (naona raha) Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha) Raha, jamani raha Eti niende msituni, zaralinge na mate pwi nikamroge Abadan, oooh abadan Penzi lichanje mizaituni, kwaviringe na kuzikiri linoge Oooh Abadan, oooh abadan Mmmmh Vineno vya kisirani Kafumwa na mwafulani Mweupe mara kijani Linawahusu nini? Vipimo viso mizani Kutwa kwenu midomoni Timewakaa vichwani Mtumezee kwinini Oooooh Ndege ya asili ya buga Kufugwa hawezekani Mithili akivuruga Akaumbiwa kutamani Atenda tafuta boga Japo tama libandani Enda tenzi sina woga Atarejea ngamani Raha, kupendwa raha (Kupendwa raha) Raha, jamani raha (naona raha) Raha, kupendwa raha (Oooh kupendwa raha) Raha, jamani raha Ah ah Waaasaaafiiii
Writer(s): Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out