Lyrics

Ooh! Ooh! Ooh! Oh my Heey!Heey! Baby gal me nakutaka Wooi! Wooi! Pretty gal umeniteka Aaai!Aai! Kupendwa kwako nitabambika Saa ngapi? Na wapi? Nitume uber sure utafika Wanasema mi hu hoe, jowa jogowuondi,waah Mara mimi huwa huboo, dawe wana wivu, aah Unauliza mbona nakupenda,wueeh ni mwivo si siri Ndoo maana me nakutaka usije ukanitalaka Baby gaal, mimi nakutaakaa Pretty gaal sure umeniteka Baby gaal mimi nakudaai Na ukikataa,hata sitaskia vibaya Waist!-check Eyes!-check Ass!-check Dimple!-check Tummy!-flat Sure gaal waah, wueeh ndoo nakutaka Kila time nikikuona me huenda mbali Kizunguzungu kwenye akili, hope utakubali Acha zako mbaya mbaya,nakutaka sio punye Picha zako nimetuma nyumbani wamekubali Ruracio tutaenda dala kucha iluonge nyombo Me ni GB si chochani ni kusema na kutenda Ukiwa around karibia harufu yako naipenda Halafu smile yako bana, iumeenda shule Kwa magoti nakubeg sema YES! YES! YES! Bana Tukosane tupatane break up ni upuzi' Heey!Heey! Baby gal me nakutaka Wooi! Wooi! Pretty gal umeniteka Aaai!Aai! Kupendwa kwako nitabambika Saa ngapi? Na wapi? Nitume uber sure utafika Wanasema mi hu hoe, jowa jogowuondi,waah Mara mimi huwa huboo, dawe wana wivu, aah Unauliza mbona nakupenda,wueeh ni mwivo si siri Ndoo maana me nakutaka usije ukanitalaka Baby gaal, mimi nakutaakaa Pretty gaal sure umeniteka Baby gaal mimi nakudaai Na ukikataa,hata sitaskia vibaya Holla mammi, napenda figure yako, so fine, ooooh kadolly Only, tell me wen you decide, hakuna haraka no worry Ngori, i don't do chasing, its kinda boring Is alright, never been one of the horny and lonely First tunachase na one nite stand kama vibe imemendi Form ya kimboka, up my game cos this girl nisha dedi From first mimi nimekuwa tu sete But they told me i need a game for city And i went down deep rural to my locale Kusaka form then kwa game re-occur And am feeling arrogant like a buffalo There melodies in my mind and they real slow Like pac i got this wackflow, cos this game is the only thing I work for Na nko na mamma that i could die for, a lady i see and my dick go hard-core Crush anadai come ghetto, howd you even place your trust on a psycho Heey!Heey! Baby gal me nakutaka Wooi! Wooi! Pretty gal umeniteka Aaai!Aai! Kupendwa kwako nitabambika Saa ngapi? Na wapi? Nitume uber sure utafika Wanasema mi hu hoe, jowa jogowuondi,waah Mara mimi huwa huboo, dawe wana wivu, aah Unauliza mbona nakupenda,wueeh ni mwivo si siri Ndoo maana me nakutaka usije ukanitalaka Baby gaal, mimi nakutaakaa Pretty gaal sure umeniteka Baby gaal mimi nakudaai Na ukikataa,hata sitaskia vibaya Amenishow eti anataka true bond. ati aliskia kwa hood mi ni player But ofcourse they didn't wanna tell yuh No checkbook napendwa tu bure Na kuna huyu anapiga keroro Kwa manzi yangu analeta osoro Vibare namchapa kisogo Paaa! paaa! Mangoto kidogo, uuuuuhu
Writer(s): Osuwo Johnfrederick Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out