Lyrics

Shenziiiiiii Shenziiiiiii Shenziii Shenziii Baby! It's crazy,how you been looking at me,nika mimi si mimi memes ni crazy Na vile we getting older we aging ei Tulipatana kwa bash na huyu dem, juu yee ndio alikuwa keki ei Hobby yake si ni baking ei Na beshte yake si ni bestie ei Nikapatana na beshte yake Betty akanikunywa nikableki ei Akanipea nikapass away, tukiskiza mangoma za Omah Lay Me ndoo nilikuwa DJ, what a day nikam kuconfess Alphabetically kwangu wue ni msupa A, wue si msupa S Wee ndoo ndoo ulifanya hii mtima irace Umeniweka ndani ya chupa ya glass Lessons umefanya leso so me silali class Jaber umebeba siandani ass, shenzi hizo ni fantasy Me nasaka hizi doh magold hadi S.A tu kwa Nasty C Yeah, Hennessy zii, yeah, manzi, anastugger,okay, na Fanta handas hunters zii Kila siku ni mapenzi shenzi, toka hapa adwaro pesa tesa Maleso mateso ni kitu kimoja,miaka kadha ya mapenzi shenzi Huoni kama unabebwa ufala, kila mtu anahoe Wababa wamama wameaumua hatutalala Ulipewangwa na Mungu hakusema sasa ugawie kila mtu Kijana jenga mali acha mapanty, siku moja utakujakulia Tulia izia,inauma but haileti magonjwa Subiri kiburi wao nao wakingoja kaburi, oh my Nimesema ya kutosha, I hope you took the notes Took the notes Wakisema unachoma, I hope you burn them up Shenzii!Shenzii Nilikuwa nampenda nampenda nikalose interest But siku hizi venye amebeba ningain interest Hatuezi kubang' mimi si hoe,hatuezi kudate me ninadem Lakini siwezi believe, aki wallahi siwezi believe Siwezi believe kienyeji jana,amekuwa mali safi leo Siwezi believe after make up anakuwa safi kama Donna Enyewe believe akiboo mpe time ataglow akuwe boo Usikuwe shenzi, hii ni past tense,ukitense itakuwa regrets Nilimjudge, saa hii nikimcheki alipanda ligi waah Ningemchat but nilikuwa shenzi nikaditch bitch blocked Shenziiiii!shenziiiii! Shenziiii! Shenziii
Writer(s): Johnfrederick Osuwo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out