Lyrics

Nywele za singa(mmmm) Wakubalika mami leo kuringa(Niringie tu) Meno maziwa(eeh)yeah Tabasamu lako laniua(nimalize tu) Eeeh, njoo baby baby njoo Twenzetu kando, tukatike kwenye floor, oooh You are my chocola(chocola) Oh you are my chocola(my chocola) Vile wanifanya hivi, waniweza mami You're my chocola Eeeh Dansi nami(dansi nami, dansi nami, dansi nami) Dansi nami(baby, baby you, songea karibu) Dansi nami Dansi nami Dansi nami(dansi nami, kwenye floor, kwenye floor, kwenye floor, kwenye floor) Yeah, baby dansi nami Ooh Macho yatesa(tesa, tesa)eeh Ukiniangalia moyo wadundaa(wadunda) Wan'chokoza tuu(wewe) Umbo lauaa Mami, mchana kuota na nyimbo kutungaa(auuu) Nasinzia tuu(wow wow wow wow wow) Njoo, baby baby njoo Twende zetu kando Tukatike kwenye floor(yeah) Baby you are my chocola(chocola) You're my chocola(African baby) Vile wanifanya hivi, waniweza mami You're my chocola Dansi nami(katika nami mama) Dansi nami(eeh, usiogope, usiogope baby) Dansi nami Karibia njoo nami kwa floor Dansi nami Aaaauuu Uuuwii heeey! Dansi nami(twende, twende heeeey) Dansi nami(no, no, no, no, no) Dansi nami(twende) Usione haya namii Dansi nami Dansi nami(baby baby baby) Songea karibu Dansi nami(dansi nami, kwenye floor, kwenye floor, kwenye floor, kwenye floor) Ooh Dansi nami (Dansi nami) (Dansi nami) (Fading) End
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Bruce Odhiambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out