Lyrics

Nikikumbuka upendo wako kwangu Naishi kama ningekuwa na mabawa Niruke mahali ulipo eh Bwana Nipige magoti mbele zako niabudu Wewe ni mungu unanipenda jinsi nilivyo Diyo maana ninakwimbia Bwana wangu Wee ni mwema kwangu X4
Writer(s): Angela Chibalonza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out