Music Video

Wyre - Chuki (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kevin Waire
Kevin Waire
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kevin Waire
Kevin Waire
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wyre
Wyre
Producer

Lyrics

(Na-na, na-na, na-na, ah) (Na-na, na-na, na-na, ah) (Na-na, na-na, na-na, ah) (Na-na, na-na, na-na, ah) Ni sababu gani mwanitenda hivi Uongo mwanena kunihusu mimi Hamnifahamu hamjui, chenye nafanya maishani Kwangu nyumbani, mwangu nyumbani Mlijidai eti nyie marafiki Kumbe nia zenu zilikuwa kundi Kunitenganisha na mpenzi wa roho yangu na kuniacha Mashakani, taabani Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Mambo yenu mi sishughuliki nayo Mnavyoishi mimi sina hoja nayo Kinachonihusu si lazima mkifahamu na kushinda Mkipiga domo, mkipiga domo Mlichotenda kwangu kweli hakifai Kiwango cha unchungu mlinipa yaani Sina heshima kwenu tena, ukuta wa chuki mlijenga Kati mi nanyi, kati mi nanyi Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani (Na-na, na-na, na-na, ah) Ni shida kuamini yaani (Na-na, na-na, na-na, ah) Kiwango cha uchungu mlionipa (Na-na, na-na, na-na, ah) Heshima kwenu mimi sina tena (Na-na, na-na, na-na, ah) Basi chuki ndio mimi nahisi Ni chuki, ndio nahisi (ndo nahisi), nikiwaza jinsi (ndo nahisi) Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani (chuki ndio nahisi) Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi) Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (ndio nahisi) Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi) Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
Writer(s): Kevin Waire Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out