Lyrics

Yalivyonifanyia mapenzi Mi siibi yangu tu Oooh kila siku mimi wa kuyasujudu Sitaki kurudia hiyo hali Bachela wa nguvu Naapa yamini mpaka aamue Mungu Yamechubua nafsi yangu Vipi nidanganye Nizame kila siku Kwenye mapenzi nikwame Kuparamia paramia Mwenzenu naomba nikome Mapenzi rungu mwiba Nikikupata sumu halina tiba Mwenzenu nimekoma Kupaparukia haja zangu Ila leo nimekoma Yakafanya nikaonekana ngoma Mwenzenu nimekoma Na japo yana matamanio Macho yangu ila nimekoma Na mapenzi ya leo ooh Huwezi amini kuwa Nilidanganywa niko peke yangu Lisilo ubani lenye kuvunda Likavunda penzi langu Ya nini ujipe taabu? Mapenzi hayana ustaraabu Wengi wameyapa adhabu Wenye mali na makapu Maumivu pia, sawa Wenye uaminifu kiza haya Nini cha kuuliza Bwana? Tafuta size yako maana Boresha boresha, sawa Nitakukomesha, haya Na kwanini unakesha, haya Machozi yanatoka Naamua mwenzenu nime-koma Kupaparukia haja zangu ila leo nimekoma Yakafanya nikaonekana ngoma mwenzenu nimekoma Na japo yana matamanio macho yangu ila nimekoma Na mapenzi ya leo ooh Na si mi nakimbi kimbi kimbi kimbia (Mbio) Mapenzi nayakimbia (Mbio) Sipaki kurupukia, leo nimekoma Oooh nakimbi kimbi kimbi kimbia (Mbio) Mapenzi nayakimbia (Mbio) Oooh nimekoma
Writer(s): Barakah Andrew Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out