Lyrics

Nairuka na baza mae aye oige nomuleta Nikamuuliza baba yangu kasema utafute ulete Mpaka Daressalaam aye oige noleta Nimesimama wima nimesimama wima Mkanda tumboni nitafuteni niletee Maisha na mziki acha maneno weka mziki Maisha na mziki acha maneno weka mziki Bojo orugamboo Aii orugamboo Mawe orugambo Inye namwenzile inye ntikimuleka Inye namwenzile inye ntikimuleka Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni Usije niacha nikaumia mamaa Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni Usije niacha nikaumia mamaa He po po eeh eh para para eeh He po po eh para para Eh parapara orugamboo Mawee orugamboo mawee Aye nkagenda Daressalaama Nkagenda Daressalaama Nkagenda Daressalaama Nabonayo ebintu bingi Nashangayo abazungu Nibagamba nekizungu Nilienda Daressalaama Nikakuta kwa wazungu Wanaongea kizungu Na mimi nikaimba kizungu Babe give to me aah Babe give to me aah Babe give to me aah Nagenda Daressalaama nashangayo amajungu Orugambo nibatuma Nagenda Daressalaama nashangayo amajungu Orugambo nibatuma Mbali nkulaba Kodo Mbali ndikugya kodo Mbali nkulaba Kodo Mbali ntikugya kodo Wanakodoa kodo Wanakodoa macho kodo Wanakodoa macho kodo Wanakodoa Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni Usije niacha nikaumia mamaa Babe umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni Usije niacha nikaumia mamaa He po po eeh eh para para eeh He po po eh para para
Writer(s): Saida Karoli Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out