Music Video

Golden Ft. Malkia Karen - Kaza Roho (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Problem - EP by Golden Tz
ALBUMProblem - EPGolden Tz

Credits

PERFORMING ARTISTS
Golden Tz
Golden Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Golden Tz
Golden Tz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ringtone
Ringtone
Producer
Mai Tempo Studios
Mai Tempo Studios
Mixing Engineer

Lyrics

Uwoga wangu wa kukukosa ndo unaniumiza akili. Mi nakesha kutafuta ili nitoe mahari, Mama wasije kupotosha Pesa ilivyo asali. Wakatuma Vocha vocha Wakajifanya Hodari Unga unga mwana mi inanicost Nataka pika mboga sina carroti Sina smart phone nataka kupost Mi kimbilikimo wenzangu ngongoti. Kama ahadi nishakupa nyingi Tena maradufu Iyo pete ka jiwe la msingi Ishaota kutu Nivumilie najua unataka matarumbeta Na usilie hata tukifunga ya mkeka Kaza kaza roho Nadunduliza kidogo nitapata mama Kaza kaza roho, Robo kilo nusu tutakusanya Kaza kaza roho Ugali finyu kichele dona la ngama Kaza kaza roho Kaza roho kaza Mmmmh Aaahaah Uuuhm Wanasema unanizeesha Eti ukipata utasepa Ila acha nikwambie we ndo kichwa Najua ukipata nitadeka Na kibanda chetu utaezekaa Maana juzi mvua ilitutisha Sidati na mawigi mwenzako Napenda za kuchana We umenikidhi Busu lako ka kilo ya nyama Bila sweta nabarizi Joto lako lanipa salama Yanini ulalamishi Riziki anatoa rabana Najua vizuri unaviona we viache tu vipite Mwenzio mi nasaka dona Jioni tusimeze matee Najua unapenda nyama choma Ila leo mi nina mkatee Tumbo piga danadana Ilhali kesho kukuche Kama ahadi nishakupa nyingi Tena maradufu Iyo pete ka jiwe la msingi Ishaota kutu Nivumilie najua unataka matarumbeta Nataka baba Na usilie hata tukifunga ya mkeka Kaza kaza roho Kaza roho ohooo hooo Kaza kaza roho Iyee iyeeee e Kaza kaza roho, Nadunduliza kidogo Nitapata mama Kaza kaza roho Kaza roho kaza Iyee ie iee ie Kaza roho kaza
Writer(s): Salum Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out