Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
Composer

Lyrics

Mambo yamebadilika, mambo Yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yangu si vile, neema imeniona Mambo yamebadilika, eleza ya leo Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Wewe ni kila kitu Yesu, asante No no no no, nimetazamwa na mimi Hallelujah Mungu amenitoa mbali na mimi Wakati kuzimu ilipanga kila siku nilie Ndivyo mbingu ilipanga na mimi nifurahi Ilipochimbwa shimo nizame nisitoke tena Hivyo mbingu ilipanga nitatoka namna gani Ni vile hukujua na mimi napendwa na Mungu Hukutambua na mimi nimedhaminiwa Ulieleza mabaya kila ulipopita Naomba leo tangaza haya mema Waambie watu Mungu si mwanadamu Waambie amejawa na huruma Waambie watu Mungu ni wa wote kweli Waambie hana upendeleo kabisa Usiwaambie watu mambo mabaya mabaya Jifunze kusema mambo yaliyo mema Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Usiwaambie watu yule ni masikini tu Waambie sasa wameshabarikiwa Usiwaambie watu yule ni mama mjane tu Waambie Yesu ni mume wa wajane Usiwaambie yule ni mtoto wa yatima tu Waambie Mungu ni baba wa mayatima Usiwaambie watu yule ni mgonjwa namjua Waambie Mungu anaponya kila kitu Usiwaambie yule namjua ni wa chini sana Waambie sasa ameshainuliwa Usiwaambie yule ni masikini namjua Waambie ameshabarikiwa Usiwaambie mambo ya jana rafiki Jifunze kusema mambo ya leo hii Ya kale yamepita rafiki elewa tu Sasa yamekuwa mapya nimeshasaidiwa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yangu si vile, neema imeniona Mambo yamebadilika, eleza ya leo Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yangu si vile, neema imeniona Mambo yamebadilika, eleza ya leo Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa Mambo yamebadilika, mambo yamebadilika Ukieleza mambo yangu, eleza ya sasa
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out