Lyrics

Ogopa Police Station presents Inspector E-Sir and Lenny Uh, tumekuja kuwashika! Tumekuja kuwashika! Hallo, mko wapi wadada? Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata Tunaposhika mic twasema tena tuna flow Pamoja basi sasa tunacheza hizo songs Wajameni kujeni mskie hii flow Basi weka mkono kwenye kiuno Na usawanishe sawa na mdundo Peleka nyuma, rudisha mbele Sote tupige makelele Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? Tulienda mbali Tukarudi tena Na tuliporudi wanawika (Hakuna show ka Ogopa show) Tulienda mbali Tukarudi tena Na tuliporudi wanawika (Hakuna show ka Ogopa show) Huu mwaka Ka moto, tutawaka Na wote walioongea taka taka Bila shaka, wata (Shh!) Huu mwaka Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mamanzi (Ay!) Mko sexy (A-la!) Mko tayari kuienda traki nasi? Mabeshte mko poa? (Tuko poa!) Mko freshi? (Tuko freshi!) Mko tayari kuienda traki nasi? (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako) (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Ha!) Kamata (Wako, wako)
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out