Lyrics

Penzi lako mizani halipimiki Wife material sio wa kiki Wengine ni mawe we ndo keki Niliwapita kwa kasi kwako breki Uko nami, niko nawe Nifate nini kwingine Tandika tulale Bandika zibane My love niteke, nideke Waseme kwake nimerogwa Nibebe niogeshe Nobody like you, like you, like you Kwa uzuri wako, uko juu, uko juu Nobody like you, like you, like you Kwa uzuri wako, uko juu, uko juu Kuna wakati ninawish Tuwe wote dunia hii Na kesho peponi Walai hukumiss Nikiwa kitandani na wewe jikoni Miguu puncture kwao siendagi Wala sisongeangi Ukitajwa moyo hudunda Na mwili husisimka Mi nawe pacha Ona tunaendana hadi tunafanana Usijeniacha Niteke, nideke Waseme kwake nimerogwa Nibebe niogeshe Nobody like you, like you, like you Kwa uzuri wako, uko juu, uko juu Nobody like you, like you, like you Kwa uzuri wako, uko juu, uko juu Aah jujujuju baby do me juu juu Mmmh zuu zuu zuu, mi kwako zuzu Aah jujujuju baby do me juu juu Mmmh zuu zuu zuu, mi kwako zuzu Ihaji juju, mama juju, ya juju Do me juju, do me juju Mama juju, Ihaji, juju, Msasa juju Do me juju, do me juju
Writer(s): Fredrick Mtinda Kilonzo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out