Lyrics

Yeah,aah,waah,aha Kiki bo boom,kiki f- booy Kwako sikuji ka si sherehe, sheria Kesho niko wera leo sherehe sheria Sunday kanisa ndo sherehe sheria Eeh wagenge wanataka sherehe sheria Sherehe sheria, sherehe sheria Wagenge wanataka sherehe sheria Sherehe sheria, sherehe sheria Wagenge wanataka sherehe sheria Siku hizi form haitoshi madrinks Adisia food tugawe meda ya bill Ndanya anauza nimejipin ka 15 Unajua ni siku gani ile siku ya masin Na kwa hii bash si ndo walevi wareal Usicock nganazi kabla utoe gaza strip Kuna ndanya ameiva hao wengine ni mathegi Ni matwerker wengine ni mavedi Kaanga rada hizi section usimedi Kiasi asi unaeza zitwanga za bebi Anadai kunkumba, kwanini, anadai kukumba Kwako sikuji ka si sherehe, sheria Kesho niko wera leo sherehe sheria Sunday kanisa ndo sherehe sheria Eeh wagengee wanataka sherehe sheria Sherehe sheria, sherehe sheria Wagenge wanataka sherehe sheria Sherehe sheria, sherehe sheria Wagenge wanataka sherehe sheria Nafeel niko thirsty Na kitu inaniboo nimeboost in thirsty Na cabin inalia firirinda na mahenny Na yule waiter mkali mwenye hukuwa na majegi Gas big tirries utadhani mali safi Lakini last night aliniacha na madeni Za madem ata sijawai jo hitaji So naingia kwenye club na hasira zimepita za mkizi Na kitu mi naona ni my ex na Naomi Kwani amekuwa Rainbow nini? Lakini nipe drinks mi nadai kukata Kwako sikuji ka si sherehe, sheria Kesho niko wera leo sherehe sheria Sunday kanisa ndo sherehe sheria Eeh wagengee wanataka sherehe sheria Sherehe sheria, sherehe sheria Wagenge wanataka sherehe sheria Sherehe sheria, sherehe sheria Wagenge wanataka sherehe sheria
Writer(s): George, K4kanali, Martin Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out