Lyrics

Nakupenda mpaka nashindwa kuandika Nimebakisha peni mkononi Akili yangu umeiteka mazima Nimebaki na feel moyoni Ni wewe Mwandani wangu wa maisha Ni wewe Kipenzi changu cha mwisho Mimi nawewe Tuishi mpaka tuishe Mimi nawewe Tuishi mpaka tuishe You be driving me crazy Nawe Acha nibaki nawe Kukuacha minaona siwezi Nawe Acha nibaki nawe You be driving me crazy Nawe Acha nibaki nawe Kukuacha minaona siwezi Nawe Acha nibaki nawe Take it slow tusiharakishe mambo Kwa hili penzi tushafunga mabao Mpira wetu tucheze kisayansi Tuwewashindi kwa Ligi ya mapenzi Milele Tupige sote sherehe Kileleeeni Tufike sote mi nawe Mimi nawewe Tuishi mpaka tuishe Mimi nawewe Tuishi mpaka tuishe You be driving me crazy Nawe Acha nibaki nawe Kukuacha minaona siwezi Nawe Acha nibaki nawe You be driving me crazy Nawe Acha nibaki nawe Kukuacha minaona siwezi Nawe Acha nibaki nawe
Writer(s): Adasa Dasa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out