Music Video

RAYVANNY - ZEZETA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Baby mooh Nifanye big G unitafune Ama niwe sindano Nawe uwe uzi nguo nifume Amaniwe ndoo Uwe maji yangu na wanune Nifanye kucha Kama ukiwashwa mi nikukune Sema mama Niweduka la vipodozi Nikuvutie kwa kila kitu Chumbani uwe simu Unalia hata nikiku beep Nisimame kama kinyozi Nikikunyoa unanisifu Niwe godoro na shuka Nilale na wewe kila usiku Shika funguo gari ya bosi wangu Kwako zezeta zezeta Niko radhi nifunge ule wewe Mimi zezeta zezeta Au unataka hata nyumba ya baba yangu Kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwewe Mimi zezeta zezeta Mama sitaki paka na panya Vita za nini Mi nataka niwe mafuta Ujipakaze kote mwilini eeh Ama niwe taulo kanga laini Ukioga ninakufata Kutoka juu mpaka kwa chini Maashallah Ulivyo mwenzako taabani Naeshimu chumba Siendi varandani Tena sikufanyi vocha Soko dukani Nikutumbie mchumba Nikutupe jalalani Sema mama Niwe duka la vipodozi Nikuvutie kwa kila kitu Chumbani uwe simu Unalia hata niku-beep Nisimame kama kinyozi Nikikunyoa unanisifu Niwe godoro na shuka Nilale nawe kila usiku Shika funguo gari ya bosi wangu Kwako zezeta zezeta Niko radhi nifunge ule wewe Mimi zezeta zezeta Au unataka hata nyumba ya baba yangu Kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwewe Mimi zezeta zezeta Shika funguo gari ya bosi wangu Kwako zezeta zezeta Niko radhi nifunge ule wewe Mimi zezeta zezeta Au unataka hata nyumba ya baba yangu Kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwewe Mimi zezeta zezeta Mashilawadu wanyapia nyapia Mashilawadu wananyatia nyatia Mashilawadu wapate kutangazia Mashilawadu kuwa makini mama Mashilawadu wakudandia dandia Mashilawadu vya watu kupakazia Mashilawadu macho funika pazia Mashilawadu kuws makini mama eeh
Writer(s): Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out