Lyrics

Yohh yohh It's your girl Chep chep Akoa Chep chep Chepkosgei amekuja na habari Nnajua mmetegea sana hizi mistari Watu waniitanga mkale mkali Na sitoki hapa, itabidi mkubali Eeeyyy Maze nmetoka mbali Sa itabidi mkubali Na hata si tafadhali Itabidi mkubali Told y'all that your girl C would be back home Sooner than you might think sa kutesa ndio form So I'm sorry if I don't, pick up your call Got a place I gotta go, cause a b- got goals Niko hapa kuwashow wale walinishuku Sai wananicheki IG nkipiga luku Ati eeh cheki venye amekuwa kasupu Si mniambie kitu sijui nyi makasuku Look I see a bright future and a big fat feature It might be Zuchu and a milli views on YouTube Maze ni turn yetu, Okase ng'alechu? Matomageki piikchuuk Chepkosgei got you Ameche onai ole maamat ap tiang'iat Tugun chemache soroo kopunwo ko chang' nea Koneekit kemi go si kekerenech sang' yo Angen kiit neameche makoi okas aleen salyaa Chepkosgei amekuja na habari Nnajua mmetegea sana hizi mistari Watu waniitanga m-kale mkali Na sitoki hapa, itabidi mkubali Eeeyyy Maze nmetoka mbali Sa itabidi mkubali Na hata si tafadhi Itabidi mkubali Makoi aru amaalu Aputi kotaang'walanu Ngapaleechi kee nechu anyun Amamite chi ne walu Lakini kaakoit petuut Makoi togero aletu Oiye kararaan ng'alechu Okertai ano pichu? Multilingual and multi-talented Ni first single but challenge accepted Naitwa Chelsea but mafans si one-sided They go from Juve to Manchester United Chepkorgen straight out of Ziwa Lemme give a shout out to a real one It's none other than Chris Kirwa Men he got me feeling kama nimefanikiwa Ni time yangu ya kushine Zingine achia baadae Najua life ni kutry Imma do it till I die Ni ngumu kunidefine Juu nacheza kidesign Ata ikuchukua time Izo deals tutasign Chepkosgei amekuja na habari Nnajua mmetegea sana hizi mistari Watu waniitanga m-kale mkali Na sitoki hapa, itabidi mkubali Angen ale kaoyan Nnajua mmekubali I know that you feeling this Jag vet att ni diggar detta
Writer(s): Chelsea Chepkosgei, Ernest Ogutu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out