Lyrics

Sawa Tuko sawa Mbele za Mungu Tuko sawa Mungu wetu anapenda usawa Alituma binadamu wote sawa Tusisabubuane Sawa Tuko sawa Ooh Tuko sawa tu Mbele za Mungu Tuko sawa Tuko sawa Mungu wetu anapenda usawa Binadamu wote sawa Alituma binadamu wote sawa Tusisabubuane Naumia unavyonidharau Naumia mimi unavyonitenga Naumia ndugu yangu unavyonidharau Wakati mimi nakweshimu Kumbuka Mungu Ni Mungu usawa Alituma binadamu wote sawa Kumbuka Mungu Ni Mungu usawa Binadamu wote tunazaliwa sawa Sawa Sawa Tuko sawa Ooh Tuko sawa Mbele za Mungu Tuko sawa Tuko sawa tu Mungu wetu anapenda usawa Anapenda usawa Mungu Alituma binadamu wote sawa Tusisabubuane Acha kunitenga, bwana, sisi wote ni sawa Sawa Tuko sawa Ooh silitenge Mbele za Mungu Tuko sawa Tuko Sawa tu Mungu wetu anapenda usawa Ooh usawa Alituma binadamu wote sawa Tusisabubuane Ooh Mbona huyu unamheshimu Sisi wengine unatudharau Mbona huyu unamsalimu Sisi wengine unatupita Mbona huyu amepewa kiti akae Sisi wengine tunapewa matofali Ndugu yangu, Mungu ni Mungu usawa Binadamu wote tuna saliwa watuku Kumbuka Mungu Ni Mungu usawa Ndio maana wote tuna ujakifo Kumbuka Mungu Ni Mungu usawa Ndio maana kuna anaye zaliwa na zote Ndugu yangu, Mungu ni Mungu usawa Alituma binadamu wote sawa Sawa Sawa Tuko sawa Ooh Tuko Sawa Mbele za Mungu Tuko sawa Mungu wetu anapenda usawa Alituma binadamu wote sawa Tusisabubuane Acha kunitenga, bwana, sisi wote ni sawa Sawa Tuko sawa Ooh silitenge Mbele za Mungu Tuko sawa Tuko Sawa Tu Mungu wetu anapenda usawa Ooh usawa Alituma binadamu wote sawa Tusisabubuane
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out