Lyrics

Trikide, kuna vile we hufanya vitu tu v-tricky de Ukitembea huku nyuma baby trikide Hauna pimple zako dimple trikide Baby gal you trikide kuna vile we hufanya vitu tu v-trikide Ukitembea huku nyuma baby trickide Hauna pimple zako dimple trikide Fi gal uko safi si lazima ati uiback it up Unakuanga juu usishuke baki top Nataka unibless ni kama wewe ni pope Halafu unipe peremende kama candy soap Tena unafanyanga nahepanga mameeting Hapo niko missing niko kwako tu mameeting Wenye wivu wanataka kukucheki ukicom out Wanataka kunicheki nimebaki alone Hawataki kutucheki tunajenga home gal, nitadedi ukikam out so Trikide kuna vile we hufanya feeling to be trikide Ukitembea huku nyuma baby trikide Hauna pimple zako dimple trikide Baby gal you trikide kuna vile we hufanya vitu tu v-trikide Ukitembea huku nyuma baby trikide Hauna pimple zako dimple trikide
Writer(s): Timothy Owuor Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out