Lyrics

Mmmmh ulalala Baby nitakupa moyo nitakupa roho Yaani mwili mzima Ningekupa gari ningekupa doh Ila mi ndo sina Ukinizidi sana nitakupa roho Unibebe mzima Ukitaka haba tutajaza ndoo Mi uvivu sina Natamani uwai shela bby uvae Upendeze na ulivyo chombo wakushangae Natamani tupewe mbawa baby tupae Tufike mbali baby wee, baby wee Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe I wish, nimwone Wolper akiruka debe I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje I wish, our wedding, our wedding Ona unafuraha we una raha We chuki wataziraha, watafuba watakosa raha Basi gimme more, unapokwenda baby na mimi nimo Utaratibu huko nyuma kuna shimo Mmh aah utanidondosha wee Mpaka mapepe Shilole waambie waache kitete Joto jipepee Mtungi ukiisha tule mpepe Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga Haya go, baby ringa Ikija mvua baby mi nitakukinga Bailando basi pinda Ukirudi kwa nyuma nakukinga I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe I wish, nimwone Wolper akiruka debe I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje I wish, our wedding, our wedding
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out