Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Thee Exit Band
Thee Exit Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Maxwell Otieno Omondi
Maxwell Otieno Omondi
Songwriter
Kelvin Athumani Yalibi
Kelvin Athumani Yalibi
Songwriter
Meltas Javan Juma
Meltas Javan Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Victor Amani
Victor Amani
Producer

Lyrics

Sherehe ni sheria Tunakunywa mabia Wasije dandia Inawavutia Wakipita kwa njia Wanatununia Me nataka pombe me nataka kulewa Agiza pombe Cheki yule shore vile amelemewa Anataka pombe Ma Hustler na mabombe wamekuja kulewa Wanataka pombe Walihepa choche wakafika mapema Wanataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Nikilewa ninapenda kusumbua Nyote mnajuwa na bado ninanunua nunuwa Na tumbo zetu bado tu zina pumua Hazitaki kupungua na bado hamjagundua Ooooh oooh Matatizo yamezidi lakini Mfuko hatuna doo Ooooh ooooh tutacheza kabisa lakini Pombe tu ndio more Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Shida ni nyingi imedhoka lakini life is for the living Sherehe ni wawili kwa wawili Nipeleke Pole pole na karidhim aaah Sherii nakuona umemedi Nina kitambala mkononi Ukidai unaeza kuja nakisency Ooooh oooh oooh Daily sijakuona area lakini nasiwezi feli Nikukata maji design ya kimeli Tuwakate na tubebwe ni wikendi ady tumbleki Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe Me nataka pombe
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out