Lyrics

Mmmh iyeeee mmmh! Mmmmh mh! mh! Mmmh iyeeee eeeh! Mh! Nadharilika nateseka na mapenzi Mh! Yamenifika nimekosa mtetezi Mh! Alinirubuni kwa kung'ata ulimi Maneno matam tam kumbe chungu Kumbe ng'ombe kazeheka maini Nakama bamia haifai kwenye fungu Eeh! Niling'ang'ana simwachi simwachi nampenda yeye tu Kwakapuku wamepiga sachi oh! Sachi namuwaza yeye tu Mie hoi hoi nimelazwa taabani nipige taff wakuniokoa ni nani Piga moyo konde umlaani shetani ya dunia yasinielemee Mbayuwayu nimekwama angani Leo simba dume ninakula majani umezima mshumaa na umeniacha gizani Wakuniokoa sina Sina! Wakunipa imani kunipenda Kama zamani atakae nithamini sina oooh! Oh! Sina! Wakunipa imani kunipenda Kama zamani atakae nithamini sina oooh! Maumivu maumivu sijazoea (Zoea zoea) Mvumilivu hula mbivu kumbe napotea (Potea potea) Yashamwagika maji nang'ang'ana kuyazoa (Kuyazoa) Kweli kupenda kipaji niwachache wanaotoboa (Wanao toboa) Umenifunga fundo kiunoni wala sioni kwingine Umepotea ghafla sikuoni bora mzungu wa nne Mie hoi hoi nimelazwa taabani nipige taff wakuniokoa ni nani Piga moyo konde umlaani shetani ya dunia yasinielemee Mbayuwayu nimekwama angani Leo simba dume ninakula majani umezima mshumaa na umeniacha gizani Wakuniokoa sina
Writer(s): Liberatus Yeronimo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out