Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Rose Muhando
Composer

Lyrics

Nakuuliza shetani umepata wapi mamlaka Ya kukamata akili za watu ah! Wewe umeleta balaa Umeingia makanisani Umekamata wababa Wanabaka watoto wao Umekamata vijana Umewatwika ulevi Bila kusahau kina mama Vikao vya masengenyo Sasa nimechoka na mambo yako Ewe shetani, nipishe nipite Wewe ulimwasi Mungu, nipishe nipite Uliwadanganya adamu na Eva, Songea nipite Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako WEwe ulimwasi mungu, nipishe nipite Uliwadanganya Adamu na Eva, songea nipite Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako Wewe shetani unaambiwa, Mwenyeji wa kuzimu Sasa nipishe nipite Hebu nipishe nipite, ninachelewa njiani Yesu yu karibu kurudi, kulichukua kanisa Kanda unayo nionyesha yote yamepitwa na wakati Huna ujanja Kumbuka miaka elfu mbili iliyopita zamani Yesu Aliposhuka kuzimu, akakunyang'anya funguo Funguo za mamlaka Nasema nimechoshwa na mambo yako Wewe shetani nipishe nipite Wewe ulimwasi Mungu, Nipishe nipite Uliwadanganya adamu na Eva, Songea nipite Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako WEwe ulimwasi mungu, nipishe nipite Uliwadanganya Adamu na Eva, Songea nipite Dunia nzima imeharibika, kwa ujanja wako Wewe shetani unaambiwa, Mwenyeji wa kuzimu Sasa nipishe nipite Nakuamuru Shetani wewe nipishe nipite Wewe umekuwa ni kikwazo kwangu Kufika mbinguni Muda wako umeshakwisha, Songea nipite Sasa haleluya naenda mbinguni, Hatuna mashaka Nakuamuru Shetani wewe Nipishe nipite Wewe umekuwa ni kikwazo kwangu Kufika mbinguni Muda wako umeshakwisha, Songea nipite Sasa haleluya naenda mbinguni, hatuna mashaka Wewe ulishaaniwa, laana milele Ulinyanganywa Mamlaka na Yesu, Huna ujanja ee Simba wa yuda aliponguruma, Mafuriko kuzimu Sasa haleluya twaenda mbinguni, Hatuna mashaka Wewe ulishaaniwa, laana milele Ulinyanganywa Mamlaka na Yesu, Huna ujanja ee Simba wa yuda aliponguruma, Mafuriko kuzimu Wewe ulimwasi Mungu, Nipishe nipite Uliwadanganya adamu na Eva, Songea nipite Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako WEwe ulimwasi mungu, Nipishe nipite Uliwadanganya Adamu na Eva, Songea nipite Dunia nzima imeharibika, kwa ujanja wako Wewe shetani unaambiwa, mwenyeji wa kuzimu Sasa nipishe nipite"
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out