Lyrics

They call me Arrowbwoy The Baddest (Shaka zulu yeah) (Utembe) Anataka penzi la dhati Tena mautundu kiasi Mi kwake dawa napoza Nalipwa na jeraha yeah Kwako marufuku, tena sio dhubutu Nampa maradufu, vikavu na vya supu Kwako marufuku, tena sio dhubutu Nampa maradufu, vikavu na vya supu Anasema anahamia kwangu mie Anahamia kwangu mie Anasema hamwendani nyie Hamwendani nyie Anasema anahamia kwangu mie Anahamia kwangu mie Anasema hamwendani nyie Hamwendani nyie Kioo kioo, we ndio wangu kioo Kioo kioo, we ndio wangu kioo Kioo kioo, we ndio wangu kioo Kioo kioo, we ndio wangu kioo (Vicky pon dis) We ndo unanipa burudani Kwa wengine sitamani Niruhusu nikupeleke nyumbani Baby You light up my world wangu mwangaza Nikikucheki tunafanana Everywhere you go I will follow you Follow you Penzi iwe sheria ka katiba nitasoma Sema umeniroga mimi kwako sitakoma Kwako mi ndio badman na namba wataisoma Wataisoma, wataisoma Penzi iwe sheria ka katiba nitasoma Sema umeniroga mimi kwako sitakoma Kwako mi ndio badman na namba wataisoma Wataisoma, wataisoma Nimeamua nahamie kwako mie Nahamia kwako mie Si unajua tunaendana sie Tunaendana sie Nimeamua nahamie kwako mie Nahamia kwako mie Si unajua tunaendana sie Tunaendana sie Kioo kioo, we ndio wangu kioo Kioo kioo, we ndio wangu kioo Kioo kioo, we ndio wangu kioo Kioo kioo, we ndio wangu kioo Aah sawa, Aah sawa, we ndio daddy Aah sawa, Aah sawa, we ndio mammy Aah sawa, Aah sawa, ata waseme we ndo hunnie Aah sawa, Aah sawa, I'm gonna fight for your love Aah sawa, Aah sawa Aah sawa, Aah sawa Tuko sawa, sawa, sawa
Writer(s): Juliet Miriam Ayub Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out