Lyrics

Sina haja mi sina haja mi Sina haja mi sina haja mi Sina haja mi sina haja mi (Kaka empire is the lifestyle) Sina haja mi sina haja mi (Mi mi mi) Sina haja mi sina haja mi (Mi mi mi) Sina haja mi sina haja mi (Mi mi mi) (Bern Music) Mbleina amedunge earphones kwa klabu Pia inashika ju ya sina taabu Life nakula kwa sinia na adabu Unataka leo nilewe nikuambie "I LOVE YOU" Nikiwa sober ndo nina maringo na ego Ndio maana nyi hushindwa mbona mi hushidanga single Mi humingle lakini roho yangu hauwezi dingo Huwa simple lakini kupenda mtu si simple Diva kimwili gangster kiroho Hii Nairobi inafanyaga nifiche mafilo Hawa ma man wanaweza kufanya fanya Wanama wakipuliza vako kipanya panya Sina haja mi, sina haja mi Sina haja mi nimekaza moyo Mniite fiti solo Sina haja mi, sina haja mi Sina haja mi nimekaza moyo Mniite fiti solo Confessions niliachia mafala Oops I mean confession niliachia mafather Hii roho sifungui ata ukija na master Hio shine hainishtui hata ukipaka mafuta Ju ka ni doh niko nayo kwa wingi Labda uniroge na zile madumba za Mwingi Na sina bei na ingekuwa bado hamfiki Ukinikatia nakuweka kwa zone ya kirafiki Diva kimwili gangster kiroho Hii Nairobi inafanyaga nifiche mafilo Hawa ma man wanaweza kufanya fanya Wanama wakipuliza vako kipanya panya Sina haja mi, sina haja mi Sina haja mi nimekaza moyo Mniite fiti solo Sina haja mi, sina haja mi Sina haja mi nimekaza moyo Mniite fiti solo Femi amesema yote Sanaipei wacha pia mi nichochwe Itakuwaje unadunga unatupa Alafu mi nibaki miguu wazi nikikupa You must be outa go mind To think that you can handle my kind One state do I shy Ukichoma mara once middle finge to you bye bye Sina haja mi, sina haja mi Sina haja mi nimekaza moyo Mniite fiti solo Sina haja mi, sina haja mi Sina haja mi nimekaza moyo Mniite fiti solo Sina haja mi sina haja mi Sina haja mi sina haja mi Sina haja mi sina haja mi Niite fiti solo, niite fiti solo Niite fiti solo, niite fiti solo Niite fiti solo, niite fiti solo Niite fiti solo, niite fiti solo
Writer(s): Wanjiku Kimani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out