Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Them Mushrooms
Them Mushrooms
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Teddy Kalanda Harrison
Teddy Kalanda Harrison
Songwriter

Lyrics

Jambo, Jambo bwana, Habari gani, Mzuri sana. Wageni, Wakaribishwa, Kenya yetu Hakuna Matata. Kenya nchi nzuri, Hakuna Matata. Nchi ya maajabu Hakuna Matata. Nchi yenye amani, Hakuna Matata. Hakuna Matata, Hakuna Matata. Watu wote, Hakuna Matata, Wakaribishwa, Hakuna Matata. Hakuna Matata, Hakuna Matata
Writer(s): Teddy Kalanda Harrison Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out