Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Pryshon
Pryshon
Performer
Priscilla Gathoni
Priscilla Gathoni
Performer
jibril blessing
jibril blessing
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Priscilla Gathoni
Priscilla Gathoni
Songwriter
jibril blessing
jibril blessing
Songwriter

Lyrics

Whoaa Yeah Mashosti na majirani wametupaka rangi Wanazo habari ulizoweka siri Badala ya wasiwasi, ungeliweka wazi Haya maji yatazoleka kweli Kuna jambo linanipa wazo baby Kulichokufanya kunigeuka mimi Maneno yao yananitatiza baby Lakini bado upo moyoni Nitaweza? Msamaha, nitaweza? Nitaweza? Aibu hadharani, nitaweza? Nipe, nipe sababu Nipe, nipe sababu Nipe, nipe sababu Nipe, nipe sababu Sikati tamaa Ila majonzi mi wamenijaa Ata iwe aje baby wewe ndio unanifaa Hisia zangu zabaki Na wewe Tumaini bado kwako Nitaweza? Nitaweza? Nitaweza? Oooh nitaweza? Nipe, nipe sababu Nipe, nipe sababu Nipe, nipe sababu Nipe, nipe sababu Mapenzi, Sioni kosa lolote Forever you are my baby yeaah Mpenzi, Sikupendi juu ya chochote Na bila masharti yeaah Love Is Unconditional
Writer(s): Jibril Gabriel Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out