Lyrics

Instrunmental Mhh Kabibi wani A haa Eh Kabibi tu Iye Kabibi, Iye Kabibi Mtoto wa nyumbani Iye Kabibi, mh Kabibi Africa kuna mambo Iye Kabibi, Iye Kabibi Mtoto wa nyumbani Iye Kabibi, mh Kabibi Africa kuna mambo Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu Mwanamke mzuri kama malaika Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh Akasema anatoka Afrika mashariki Nyumbani kwao "Tanga" Mmhhm, usiniumize Kabibi Wewe nakupenda Kabibi Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu Mwanamke mzuri kama malaika Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh Akasema anatoka Afrika mashariki Nyumbani kwao "Zanzibar" Usiniumize Kabibi Usiniangushe Kabibi Anania wangu huko tare Hii adhabu niliyopata Kamanga wangu manzese - Ahh Kabibi Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu Mwanamke mzuri kama malaika Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh Akasema anatoka Afrika mashariki Nyumbani kwao "Mombasa" Usiniumize Kabibi Nakupenda Kabibi Anania wangu huko tare Hii adhabu niliyopata Iye Kabibi Iye Kabibi ehh Mtoto wa nyumbani Iye Kabibi Wewe Kabibi ehh Afrika kuna mambo Usiniangushe Kabibi Ehh Mtoto wa nyumbani Nimekuzoea Kabibi Africa kuna mambo Iye Kabibi yenuria Mtoto wa nyumbani We Kabibi nakupenda Afrika kuna mambo Ehh mama Africa kuna mambo Mtoto wa nyumbani Ehh mama Africa kuna mambo Iye Kabibi Iye Kabibi Mtoto wa nyumbani Wewe Kabibi nakupenda Africa kuna mambo Nimeshakuzoea Kabibi Africa kuna mambo Usiniangushe Kabibi eh Africa kuna mambo Ooh Kabibi Mtoto wa nyumbani Mtoto wa Afrika Mashariki eh Ehh mama Afrika kuna mambo Kabibi Wewe Kabibi eh Nakupenda Nakupenda Kabibi eh Kabibi Mama musa huko kaloleni eh Tafadhali Huyu nampenda sana miriamu Uzuri kama malaika Nakupenda Mama Roza kaloleni Kabibi Nampenda sana Huyu Mariamu Tafadhali Kasuya wangu huko Kenya Kabibi Angalia tabu niliyopata kasuya Nakupenda Kabibi Kabibi Mmhhm Kabibi Tafadhali Oh yeah Kabibi Kabibi O yee Kabibi
Writer(s): Anania Ngoglia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out