Lyrics

ulalalala willy willy willy paul namba nane nane size 8 kambua gloria muliro tena usinione narukaruka msela sijafika usinione nacheza ngoma msela sijafika usinione narukaruka dada sijafika usinione nacheza ngoma dada sijafikaaa usinone mimi kwenye sitolia sijafika usinione mimi kwenye tamutamu sijafikaaaa usinione narusharusha mateke sijafika usinione nawashawasha moto(motoooo)sijafikaa ooh sijafika sijafika sijafika ooh sijafika sijafika sijafika iyeee natafuta yesu maishani ooo iye iye iye natafuta yesu maishani oo iye ee natafuta yesu maishani oo iye iye iye natafuta yesu maishani ooo uuh msela eee ooo aaaah oooo eee ooo aaaah matime huwa nanung'unika nikipata chuki nami natafuta yesu wangu wa maishani kweli kafanya nishikilie baba lakini bado mimi kambua sijafika nahitaji uwepo wako ndio maana usiku na mchana ntakupa sifaaa eee (wapi gloria) ilianza mwambie alesa ikafuata yesu iroma ikaja kibali na bado kasonga tulipotoa sitolia mwana walidhani tumefika kumbe ilibidi tufollow follow you nangojea matokeo yangu(bado nangoja matokeo) hata baada ya mpango wa kando sijafika tuma baba msaidizi kwangu na hata zaidi nataka nimwone yesu maishani mwangu iyee natafuta yesu maishani ooo iye iye iye natafuta yesu maishani oo iyee ee natafuta yesu maishani oo iye iye iye natafuta yesu maishani ooo uuh msela eee oooh aaaah oooh eee ooooh aaah hatujafika hatujafika maana tuko safarini sote hatujafika tuko safarini sote ee hatujafikaaa hatujafika mama hatujafikaa hatujafika eeeh mmh willy paul ae kambua ae size8 ae gloria ae hatujafika mama aa eaa tuko safarini aah teddy b iyeee natafuta yesu maishani ooo iye iye iye natafuta yesu maishani ooo iyee ee natafuta yesu maishani ooo iye iye iye natafuta yesu maishani oo uuh msela. eeeh oooh ooh aaah ooh oooh eeeh oooh aaah -end-
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out